Talisman A Cappella

Baba Yetu Lyrics

Baba Yetu video

Votes:
0
Genres:
  • Folk
Tags:
  • civilization 4
  • love
  • soundtrack
  • swahili
See also:
Wrong lyrics?

Talisman A Cappella - Baba Yetu lyrics

CHORUS

Baba yetu, yet'uliye

Mbinguni yetu, yetu, amina!

Baba yetu, yet'uliye

Kun jina lako e'litukuzwe.

(X2)

Utupe leo chakula chetu

Tunachohitaji utusamehe

Makosa yetu, hey!

Kama nasi tunavyowasamehe

Waliotukosea usitutie

Katika majaribu, lakini

Utuokoe, na yule, milelea milele!

CHORUSTalisman A Cappella - Baba Yetu - http://motolyrics.com/talisman-a-cappella/baba-yetu-lyrics.html

Ufalme wako ufike utakalo

Lifanyike duni ani ka ma mbinguni. (Amina)

CHORUS

Utupe leo chakula chetu

Tunachohitaji utusamehe

Makosa yetu, hey!

Kama nasi tunavyowasamehe

Waliotukosea usitutie

Katika majaribu, lakini

Utuokoe, na yule, simama mwehu

Baba yetu, yet'uliye

Jina lako e'litukuzwe.

(X2)

Write a comment

What do you think about song "Baba Yetu"? Let us know in the comments below!

More "Held In Shining" Album Lyrics

Recommended songs