Call First

O Sifuni Mungu Lyrics

O Sifuni Mungu video

No photo
Overview
Votes:
0
Wrong lyrics?

Call First - O Sifuni Mungu lyrics

Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu

Pazeni sauti ili nasi mwimbe
Pazeni sauti ili nasi mwimbe

Watu wote
Viumbe vyote
Awaye yote
Sifu mungu

Watu wote
Viumbe vyote
Awaye yote
Sifu mungu

All creatures of our god and king (o sifuni mungu)
Lift up your voice and with us sing (o sifuni mungu)
Thou burning sun with golden beam (imbeni, imbeni)
Thou silver moon with softer gleam (pazeni, sauti, imbeni)

Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Pazeni sauti ili nasi mwimbe
Pazeni sauti ili nasi mwimbe

All men (watu wote)
All creatures (viumbe vyote)
Everybody (awaye yote)
Praise the lord (sifu mungu)
All men (watu wote)
All creatures (viumbe vyote)
Everybody (awaye yote)
Praise the lord (sifu mungu)

Thou rushing wind that art so strong (o sifuni mungu)
Ye clouds that sail in heaven along (o sifuni mungu)
Thou rising morn in praise rejoice (imbeni, imbeni)
Ye lights of evening find a voice (pazeni sauti imbeni)

Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Pazeni sauti ili nasi mwimbe
Pazeni sauti ili nasi mwimbe

All men (watu wote)
All creatures (viumbe vyote)Call First - O Sifuni Mungu - http://motolyrics.com/call-first/o-sifuni-mungu-lyrics.html
Everybody (awaye yote)
Praise the lord (sifu mungu)
All men (watu wote)
All creatures (viumbe vyote)
Everybody (awaye yote)
Praise the lord (sifu mungu)

Thou flowing water pure and clear
Make music for thy lord to hear!
Thou fire, so masterful and bright (imbeni!)
That givest man both warmth and light (imbeni)

Viumbe vyote vya mungu wetu
Viumbe vyote vya mungu wetu
Pazeni sauti
Pazeni sauti
Tusifu mungu

Let all things their creator bless (o sifuni mungu)
And worship him in humbleness (o sifuni mungu)
Oh praise the father, praise the son (imbeni, imbeni)
And praise the spirit, three in one (pazeni sauti imbeni)

Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Pazeni sauti ili nasi mwimbe
Pazeni sauti ili nasi mwimbe

All men (watu wote)
All creatures (viumbe vyote)
Everybody (awaye yote)
Praise the lord (sifu mungu)
All men (watu wote)
All creatures (viumbe vyote)
Everybody (awaye yote)
Praise the lord (sifu mungu)

O sifuni mungu (imbeni)
O sifuni mungu (imbeni)
O sifuni mungu (imbeni)
Tusifu mungu
O sifuni mungu (imbeni)
O sifuni mungu (imbeni)
O sifuni mungu (imbeni)
Tusifu mungu

Tusifu mungu
Tusifu mungu
Pazeni sauti na wote imbeni
O sifuni mungu

Write a comment

What do you think about song "O Sifuni Mungu"? Let us know in the comments below!

Recommended songs