Eunia Simbagoye

Bwana Yesu Ni Warehema Lyrics

Bwana Yesu Ni Warehema video

Votes:
0
Wrong lyrics?

Eunia Simbagoye - Bwana Yesu Ni Warehema lyrics

Bwana Yesu ni warehema

Bwana Yesu ni waupendo

Bwana Yesu muweza yote

Bwana Yesu ni wahuruma (4)

Bwana Yesu kwanz’arituumba

Hakuna kitu aricho tunyima

Rakini sisi tukamtendea mabaya

Bwana yesu ni wahuruma

Bwana Yesu ni warehema

Bwana Yesu ni waupendo

Bwana Yesu muweza yote

Bwana Yesu ni wahuruma

Ndugu yangu ninakushauri

Umpe Yesu maisha yako

Ayataware akuweke huru

Maana yeye ni muweza yote

Bwana Yesu ni warehema

Bwana Yesu ni waupendo
Bwana Yesu muweza yote

Bwana Yesu ni wahuruma (2)

Yeyeyeye
Eunia Simbagoye - Bwana Yesu Ni Warehema - http://motolyrics.com/eunia-simbagoye/bwana-yesu-ni-warehema-lyrics.html
Mungu wamiujiza

Hakuna kama wewe

Yesu w’urukundo

Ntawuhwanye nawe

Yesu w’Imbabazi

Ntawuhwanye nawe

Tukienda Australia

Hakuna kama wewe

Tukienda America

Hakuna kama wewe

Africa nzima

Hakuna kama wewe

Tunakwabudu wewe

Hakuna kama wewe

Tunakwinuwa wewe

Hakuna kama wewe

Hakuna kama wewe

Hakuna kama wewe

Hakuna kama wewe

Hakuna kama wewe

yeyeyeye

Write a comment

What do you think about song "Bwana Yesu Ni Warehema"? Let us know in the comments below!

More "Jesus Come" Album Lyrics

Recommended songs