- Votes:
Godson Jawabu - Ni Yesu lyrics
Chorus x1
Ni Yesu ndiye ngao yangu, Mchungaji wa maisha yangu,
Ni Yesu Kimbilio langu, basically kila kitu kwangu
Verse 1
Hatimaye sa nimepata rafiki, yuko nami kwa faraja na dhiki,
huunilaza kwenye majani mabichi isitoshe amenifanya zaidi ya mshindi,
Amenipigania vita vyangu mimi, jemedari amenisamehe dhambi,
Ingawa matendo zangu kwake hazifaai, neema zake ndizo zime nihifaadhi,
Damu yake imenitakasa na, roho wake pia akanijaza na,
Sibadiliki niko chini ya mwamba na, mwamba juu yangu
Chorus x2
Verse 2
Jehova Jireh umekuwa mpaji wangu, Jehova Nissi bendera ya uokovu wangu,Godson Jawabu - Ni Yesu - http://motolyrics.com/godson-jawabu/ni-yesu-lyrics.html
Ebeneza umekuwa mwaminifu kwangu, Rapha mponyaji wangu,
Macho yake yako kwangu ka sinema, kila siku ananiwazia mema,
namshikilia kama suspender daima, namfuata ka bendera
Grace yake imeni cover ka duve, love yake ni tamu wacha shuge
Grace yake imeni cover ka duve, love yake tamu wacha shuge
Chorus x2
[Bridge]
Yesu ni njia, ukweli, uzima
Yesu ni njia, ukweli, uzima
Yesu ni njia, ukweli, uzima
uzima wa milele x4
Chorus till fade