- Votes:
- See also:
Heo Young Saeng - Malaika lyrics
Malaika, nakupenda Malaika
 Malaika, nakupenda Malaika
 Nami nifanyeje, kijana mwenzio
 Nashindwa na mali sina, we,
 Ningekuoa Malaika
 Nashindwa na mali sina, we,
 Ningekuoa Malaika
 Kidege, hukuwaza kidege
 Kidege, hukuwaza kidege
 Nami nifanyeje, kijana mwenzio
 Nashindwa na mali sina, we
 Ningekuoa kidege
 Nashindwa na mali sina, we
 Ningekuoa kidege
 Pesa zasumbua roho yangu
 Pesa zasumbua roho yangu
 Nami nifanyeje, kijana mwenzio
 Ningekuoa MalaikaHeo Young Saeng - Malaika - http://motolyrics.com/heo-young-saeng/malaika-lyrics.html
 Nashndwa na mali sina, we
 Ningekuoa Malaika
 ANGEL
 Angel, I love you angel
 What should I do, your lover
 I am defeated by money
 I don't have any
 I would marry you, angel
 Money is troubling my soul
 Little bird
 I always dream of you little bird
 This remains one of the Hep Stars' fans
 Favorite songs. There are many inaccuracies
 In other versions out there, these are the 
 Correct and complete lyrics. The Hep Stars
 Didn't sing all the verses. Thanks to the
 Kamusi Project for the lyrics and translation












