Overview
- Votes:
Subscribe to Tina Kuto Kalle RSS Feed to get latest lyrics and news updates.
Tina Kuto Kalle - Atupenda lyrics
Kwa maana jinsi hii Mungu
Aliupenda ulimwengu
Kamtoa mwanawe ili
Tupate uzima milele
Atupenda
Atupenda
Atupenda
Atupenda kweli
Ni upendo gani huu
Mwokozi kujitoleaTina Kuto Kalle - Atupenda - http://motolyrics.com/tina-kuto-kalle/atupenda-lyrics.html
Atufilie wenye dhambi
Tupate uzima milele
Alitufia
Alitufia
Alitufia
Tupate uzima
Katika yeye tunaishi
Katika yeye twatembea
Katika yeye tuna uzima
Na sisi ni watoto wake