- Votes:
Sauti Sol - Mapacha lyrics
mapacha hawatenganishwi kalmu nami muandishi muandishi,
usinilenge mi malanga aa,
sina mengi mimi nina shairi mashairi
chorus
oooh wajua nakupendaaa, wajua nakulinda musichana wa afrika
wajua nakupendaaa, wajua nakulinda we kidosho wa afrika
we uje nizalie musichana
nami nikupe wewe kijanaSauti Sol - Mapacha - http://motolyrics.com/sauti-sol/mapacha-lyrics.html
penzi linawiri nakamwe tusilisalitiii
sina mengi mm nina shairi mashairi wwoouuuu!
chorus
wo wo woouuux2
ooooh ni wewe tuu,ni wewe napeeendaa niwewe wewe
ni wewe nataka
africa nzima yakutamani ni weweee ni wewe wewe wewe wewe wewe eeee