- Votes:
Sauti Sol - Subira lyrics
nilipenda musichana 
jina lakee subira 
pendo letu liling'aaa
mwaka wa kwaaanza wa ndoa
kanizaliia kijana 
penzi likawa sawaaa
wazazi wangu na wakee
walipendaaana sana
heshima kifamiliaaa
we kidosho wa afrika musichana tabia kwako niliridhikaa
oooooohoooohoooSauti Sol - Subira - http://motolyrics.com/sauti-sol/subira-lyrics.html
bye bye bye bye byeebyee
paparampapam paparampapam
bye bye oooouuuu bye bye 
paparampapam paparampapam
bye bye oooouuuu bye bye 
byeee bbbyyyyyeeee
mmmmh kama ndoa ilivyo 
uzuri na ubaya aa
ubaya katokeaaa
msichana wa geti kali atakulaje sukuma
jirani wamuchekaaaa
akaanza kusonyasonya na kukunja sura msichana kaniwachaa














