- Votes:
- See also:
Rusty - Emma lyrics
Intro
 Yeah
Big Unit-Genge Mufti
 2008
 Dedication to Emma
 Alters Records
 Yeah
Twende
 Aha
ShaSha Mo na Rusty
 Chorus
 Mpenzi wangu Emma
 Mi nakupenda nasema
 Macho yako yamenivutia
 Mashallah! (Mashallah! )
 Why Lie! (Why Lie) x3
 Verse 1
 Mpenzi wangu Emma
 Ni kweli mi nasema
 Mi bado nakupenda
 Hata watu wakinena
 Siwezi kukutema
 Ninakuwazia mema
 Kwa siku zangu zote
 Bado mema nitatenda
 Naapa mpenzi
 Sitoweza kukutenga
 Wengi walisema
 Siwezi kukupata
 Story nikakata
 Nisije kukuhata
 Nafanya uradi fasta
 Niweze kuwa nawe
 Ukidrill kwenye highway
 Na feel kuwa nawe
 Yeah
na feel kuwa nawe
 Verse 2
 Nakupa tabasamu mikono nakurushia
 Maisha ni machungu na raha kukimbilia
 Big Unit tunasema, huwezi tukimbia
 Popote utaenda sisi tutakufikia
 Najua uko poa mrembo wakubugia
 Mara ninapolala ni wewe nafikiria
 Aaah, Ni msanii kwa sanaaRusty - Emma - http://motolyrics.com/rusty/emma-lyrics.html
 Ni kweli ninasema kunihepa ni balaa
 Unabaki umeshangaa
 Ndio maana tunasema
 Hivi na vile vile
 Kutoka siku ile
 JD naitwa hero
 Kutoka hapa GILO
 Pretty Emma
 Mi sikupi vitisho
 Nakupa langu himizo
 Na hope sio tatizo
 Ndio life siku hizo
 Hivo jinsi ilivyo
 Ya kweli kutimiza
 Japo swali we uliza
 Yeah
Japo swali we uliza
 Verse 3
 Na saa ukinijia
 Masaa yatimia
 Wazo langu tulia
 Yote mengi ya dunia
 Sahau yalopita
 Mateso kadri vita
 Na mi nakuita
 Ukweli sitoficha
 Banyes Twist Guitar
 Ushow zote features
 Mziki utani
 Fikisha mbali Sana
 Na hope ndio future
 Manake sio nature
 Manake tunawika tukidai every time
 Pretty Emma
 I love you so much
 Baby, I love you so much
 Outro
 Big up Mafans wote wa GILO
 Skug Unit
 Squad Safi
 Madedix
 Tuko pamoja tu yaani
 Au sio!









