- Votes:
- See also:
Rusty - Tafash lyrics
Intro
Rusty
Raundi hii ni Genge
Nafanya mcheke
Nikiwapatia true story
Ya Manzi yangu
Mnataka kuiskiza?
Mnataka kuiskiza?
Ndio hiyo, sawa.
Chorus
Tafash Jo, kukupenda manzi yangu
Tafash Jo, kukutembelea kwenyu
Tafash Jo, ningehandwa juu yako
Tafash Jo, Tafash Jo, I say x2
Verse 1
Nakumbuka hiyo day tumeenda ku party
Downtown tuka go kukutana na Shawty
Kufika kwa gate, tukapata Wochi
Niwasaidie vipi mothama ni mngori
Tunataka Shee tuongee one minute
Haya ingieni mkipatwa shida yenu
Kufika kwa door, tuka meet na Shiro
Kabla hajagota, matha akafungua diro
Mnafanya nini?, na mnataka nini?
Nawapa 5 minutes au niite Polisi
Si hatuna noma tumeleta tu salamu
Na kama huamini tuandike kwa kalamu
Verse 2
After kutoa uzushi matha akatoka nje
Nani ana psych asimame ni mvunje?
Tukajifanya chizi na kukula mbao finjeRusty - Tafash - http://motolyrics.com/rusty/tafash-lyrics.html
Dame alitoka tukadai ajifiche
Kuona kumethoka wochi akatudandia
Ali come na madogi na life kututishia
Alikuwa amevaa, label moja ya bandia
Akaanza kuturuka ati si tuna hatia
Mbuyu akatoka, kama ametuhanda
Hawa wanajua wanakaa kwa kibanda
Wanataka kuharibu msichana Kwa kitanda
Wote wakadai ati sisi ni ma dunder
Verse 3
Noma ikazidi na si tukakaidi
Siku si ya idi na tumewakisha udi
Magova waka come, na kutuita kando
Mmoja wao, alikuwa ni Onyango
Nani hii nyangau? Na italala ndani!
Tukadai sio noma, niku by-pass
Mbuyu akasema, tunaishi ghetto
Tafash Jo, kumbe ningekatiziwa
Tafash Jo, kumbe mimi ningeshikwa
Tafash Jo, kumbe ningekatiziwa
Tafash Jo, kumbe mimi ningeshikwa
Outro
Manze kutembelea dame
Kwao manze ni Tafash Jo
Usijaribu, chunga usipatikane
Ukipatikana ni mwathara
Hii ni Tafash manze
Raundi hii ni kunoma
Alters Records
Skiza hii
Dedication ya wasee wote wa ghetto
Ni ngumu ka metal